Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu...
3 Reactions
15 Replies
313 Views
Kutoka Kwa Zitto Kabwe, Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano. Sasa Kwa nini CCM imekua...
5 Reactions
19 Replies
391 Views
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto. Big up kwa...
33 Reactions
176 Replies
2K Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
12 Reactions
176 Replies
2K Views
House girl mwenyewe Bonge la pisi kali
4 Reactions
17 Replies
117 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Habari nauza kiwanja changu kipo Zanzibar kiwengwa kina ukubwa 33*30 kutoka kwenye kiwanja hadi beach ni dakika 5 kwa kutembea kiwanja kinafaa kwa makazi binafsi lakin pia kwa biashara Nauza...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Salamu waungwana. Napenda kuuliza, anayejua hali ya barabara ya kutoka Buswelu hadi Nyamhongolo kupitia Nyamadoke ilivyo aniambie. Mara ya mwisho nilisikia kuwa barabara hiyo kutoka Buswelu...
0 Reactions
3 Replies
336 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,214
Posts
49,593,473
Back
Top Bottom