Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Nina kijana wa miaka 17. Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
31 Reactions
357 Replies
6K Views
Habar za jioni wana jukwaa, Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala. Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani...
3 Reactions
21 Replies
634 Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
11 Reactions
34 Replies
325 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio, lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli, hiyo picha wako...
9 Reactions
114 Replies
2K Views
Shalom, Mungu alituumba kipekee sana na kila mtu ana uhuru wake wa kufikiria aidha kupata, kupambana upate na kupambana usikose. Juma Nkamia kasema ukweli wake ambao hata katika utawala huu wa...
0 Reactions
0 Replies
9 Views
Kinachotokea kwenye mikutano ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kimeonesha kuwa, wananchi wengi wanateseka sana kwa kukosa haki zao kutokana na watendaji wabovu wa nafasi tofauti tofauti. Nafikiri hata...
9 Reactions
31 Replies
705 Views
Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo tangu zamani mashuleni, mitaani, n.k. !! tofauti yao ni kwamba viungo vyao havijakomaa...
8 Reactions
49 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,380
Posts
49,598,120
Back
Top Bottom