Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Katika Ukurasa wake wa tweeter Mhe David Kafulila ameandika haya:-
************************************
"Kwasasa Umuhimu wa kutumia nishati mbadala hauna mbadala,
Tanzania sasa ni...
Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.
Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani...
Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki.
Chuki zenyewe sio za...
Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF.
Kwa miaka kadhaa nilikula msoto sana wa kimaisha kiasi cha kukosa hata pesa ya nyanya geto.Sometimes chai ya asubuhi ilinishinda,lunch ilikuwa inapiga chenga...
Wakuu habari za muda na wakati kama huu.
Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.