Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
48 Reactions
213 Replies
6K Views
Mkuu wa Pentagon Lloyd Austin anaamini kwamba ikiwa Ukraine itapoteza vita kamili na Urusi, nchi hiyo ya pili italazimika kupigana na Muungano mzima wa Atlantiki ya Kaskazini maarufu kama (NATO)...
1 Reactions
20 Replies
419 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu. Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe...
16 Reactions
74 Replies
5K Views
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
----------------------------------- NIMEMSOMESHEA WATOTO HANITAKI TENA [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume...
2 Reactions
6 Replies
7 Views
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu...
8 Reactions
106 Replies
4K Views
Habari, nasumbuliwa sana na mingurumo kwenye tumbo na tumbo linaniuma sana, nimetumia dawa nyingi hospital lkn bado, naombeni ushauri ni dawa gani mzr itanisaidiaa ndg zangu
0 Reactions
4 Replies
51 Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
13 Reactions
50 Replies
565 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,386
Posts
49,598,332
Back
Top Bottom