Nimeachana na Avatar ya zamani kwa sababu mtu ambae picha yake nimeweka kwenye Avatar yangu ( Zulu Adigwe) ametangulia mbele za haki.
Hii ndio Avatar yangu mpya
Hello brothers and sisters... This is something very important you should know.
When you have sex with another person, you exchange energy. If that person is carrying around guilt, shame or...
Kibu Denis amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kusalia simba kwa Ada ya usajili ni milioni 350,mshahara wa 15 na Gari yenye thamani ya milioni 50.
Kibu jumla atakusanya milioni 760 ndani ya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi...
Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961...
Mkurugenzi Mwanzilishi wa Makampuni ya Vanilla International Limited, Simon Mnkondya amejikuta Mikononi mwa Polisi Mara baada ya kutajwa kutapeli wakulima wa Vanila mamilioni ya fedha na Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.