Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametutoka. Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole. R.I.P Mzee wetu Mowo
8 Reactions
63 Replies
3K Views
Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria...
41 Reactions
209 Replies
12K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Inakuwaje wanajamvi! Naombeni mniamini Fulham watashinda leo goli 1-0 dhidi ya Man City. Na kesho wabahatishaji Arsenal watagongwa 2-0 na Manchester United. Jumanne ManCity watafungwa 2-0 na...
0 Reactions
6 Replies
68 Views
Nimeachana na Avatar ya zamani kwa sababu mtu ambae picha yake nimeweka kwenye Avatar yangu ( Zulu Adigwe) ametangulia mbele za haki. Hii ndio Avatar yangu mpya
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi. Mawazo yangu niliyonayo...
4 Reactions
35 Replies
397 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Vigogo wa Chadema wako ndani ya Kikao kizito muda huu wakijadili masuala mbali mbali, ukiwemo mustakhabari wa Nchi . Miongoni mwa Ajenda ni kuhusu Chaguzi za...
7 Reactions
28 Replies
401 Views
Leo asubuhi wadau kwenye kipindi cha power breakfast nilisikia kuwa kati ya majina ambayo ndugu zetu wazanzibar wanatuita ni machogo,,je hi ni haki kweli? nyumba watuchomee na pia watudhihaki eti...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
Hello brothers and sisters... This is something very important you should know. When you have sex with another person, you exchange energy. If that person is carrying around guilt, shame or...
2 Reactions
27 Replies
241 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,218
Posts
49,593,565
Back
Top Bottom