Kwanini Wazanzibar watuite Machogo(Chogo), ni Haki kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Wazanzibar watuite Machogo(Chogo), ni Haki kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by maishapopote, May 18, 2011.

 1. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Leo asubuhi wadau kwenye kipindi cha power breakfast nilisikia kuwa kati ya majina ambayo ndugu zetu wazanzibar wanatuita ni machogo,,je hi ni haki kweli? nyumba watuchomee na pia watudhihaki eti tuna visogo vikubwa? hv ni kweli watu wa bara tuna maumbo hayo? ki ukweli sijapenda hiyo.....My take, Mimi si Chogo
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Wabaguzi sana niwatu wenye ukabila!Nawao kujiona ni watu wa uarabuni hata kama niweusi!!Mbona wao wanamiguu iliyochanikachanika hatuwasemi!!Makanyagio yao kama ya godizzilla??
   
 3. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Duh Mkuu hapo kwenye red Umeua hahahahha
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,090
  Likes Received: 888
  Trophy Points: 280
  hawana lolote wale. watu wa kushindia mikate watatuambia nn wabara. kazi yao kuimba nyimbo za kishoga,mara bata mara samaki. hawatofautiani na watu wa mombasa wale.
   
 5. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mungu amewanyima kwa kiasi kikubwa ubinadamu mimi siwashangai hata kidogo,ni masikini wa nafsi,hawataki muungano ndio maana wanatufanyia vituko kila kukicha sijui viongozi wetu kwa nini wanawang'ang'ania.
   
 6. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh teh, na sie si tuliwaita mdebwedo, ami jay, bonyeeee
   
 7. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #7
  May 18, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  asee ni kweli lkn,ila hii ya machogo inaumaa...
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa wanani piss off sana hawa, ingekua amri yangu ni kwenda kuwashikisha adabu tuu!
   
 9. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mi kwa mtazamo wangu wao ndo wenye maumbile haya
  1. Huwa wanajifunga mabaibui mda wote(hasa wanawake)
  2. Wanaume wanavisogo ndo mana awe muislam au co lazm avae kibaraka she
  3. Walio wengi ni wavivu hawana kazi za kufanya.
  NB: Kama cc ni machogo na wao ni kina nani?
   
 10. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wao ni mashoga.
   
 11. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #11
  May 18, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  hahaha mkuuu wanasema wao hawana shida ndo maana si tunatoka huku kwetu tunaenda kwao kutafuta kazi kimtizamo wao ni kuwa kwetu kuna shida saana...tukisema mbona nyie mko kwetu wanasema wale ni wapemba na wapemba si wazanzibari
   
 12. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
   
 13. std7

  std7 JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Tuwavumilie jamani ni utoto tu unawasumbua waki.... watahacha. zanzibar inasadikiwa kuna mafuta so tuwavumilie ili tufaidi wote mafuta kwa sasa tusivunje muungano tafadhali tuendelee.. kuwatawala na kuwavumili. ashe.. nale..
   
 14. g

  gnasha Member

  #14
  May 18, 2011
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona wao wamejaa bara na hatuwafukuzi?
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  machogo cz vichwa vyetu avipo batibati kwa nyuma km vyao
  wao vchwa vyao vipo kama mikebe ya darasani....
   
 16. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #16
  May 18, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red unamaanisha imechongoka kama ncha ya mikebe......asee hii kali atii,
  wakikuona wenyewe
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  afu wazenj weng wachafu...yaan ata ukienda zenj gest zao dahh..chafuuuuu yaan ata kandambili akuna afu ukiuliza anakwambia apa kwangu wanafikiaga wazungu TU na wazungu wala awakog ndo mana akuna kandambili....kubadirisha mashuka mpk uwaambie afu chumba unalipia efu 70...wakat uku chumba cha efu 70 unakikuta kisaaaaaaaaaaaaaaaafi...apo ni low season ukienda high mhh utalia....

  IN SHORT AWA JAMAA NI WACHAAAAFUUUUUUUUUUUUUUUUUU
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  HAHAA hahaa !
  usi unawaonaga vchwa vyao kwa nyuma ..vmekaa bati bati na kuchongokea juu yaan km ncha ya mlima vile...:dance:
  afu walalamish usipime..wanadeeeka,wamelegeeeeeeeeeea...afu weng wao wananuka vkwapa,midomo....kuoga mtihani nadhani...
   
 19. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hiyo mimi ilinikuta Pemba niliitwa chogo wakati hata sina hilo chogo la kutisha...nikaja gundua kuwa waBara twaitwa machogo. Na nikaona kweli tuna tofauti ya vichwa na wapemba, wengi wao vichwa vyao viko 'bapa' kwa nyuma hata Wayne Rooney ana afadhali. Hivyo haikunitia shaka saaana!
   
 20. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2011
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Duh noma sana kuitana vichogo! hata hivyo bado ndugu zetu hata kama mna vichogo,,,,,

  Muungano Daimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
Loading...