Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo!
Nitakua nampooza ya maji!!
NB: Wenye ushauri wa uende...
Je unafanya biashara ya ukopeshaji na ungependa kupata mfumo wa computer utakaokusaidia shughuli zako za ukkopeshaji?
LOAN MANAGEMENT SYSTEM
Mfumo wa usimamizi masuala ya kuweka pesa na kukopa...
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea
https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
YAFUATAYO NI MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MALEZI YA MTOTO WAKO KULINGANA NA DUNIA INAVYOKWENDA .
1. Mfundishe mtoto kumjua na kumtanguliza Mungu katika kila Jambo analolifanya( Everything to put...
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.