Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu.. Naombeni msaada naona nina allergy na manukato (perfumes & body spray), zinanipa mafua makali sana.. Na hii sio nikipulizia mimi tuu hapana, hata nikikaa na mtu alojipulizia basi...
2 Reactions
12 Replies
511 Views
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ambae ndio role model wa Chadema amesema atamtia ndani mpinzani wake wa Kisiasa ambae ni Rais wa Zamani bwana Edgar Lungu Kisa Wananchi wengi Wanamfuata baada ya...
7 Reactions
61 Replies
2K Views
karibuni HUDUMA YA KUHAMA, mtaa kwa mtaa na Dar kwenda mkoani. Huduma zetu ni pamoja na; [emoji117]kufunga na kufungua vitu tunapofika unapohamia [emoji117]kupanga vitu mahala pake...
12 Reactions
396 Replies
10K Views
Shujaa Magufuli alikuwa Rais wa JMT Juma Nkamia alikuwa Mbunge na Naibu waziri Tundu Lisu alikuwa Mbunge Juma Nkamia aliogopa kutumbuliwa akatoa Sifa za uwongo Ili Katiba ibadilishwe na Rais...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂 Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke...
2 Reactions
10 Replies
120 Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
21 Reactions
89 Replies
2K Views
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
49 Reactions
149 Replies
4K Views
Mkuu wa Pentagon Lloyd Austin anaamini kwamba ikiwa Ukraine itapoteza vita kamili na Urusi, nchi hiyo ya pili italazimika kupigana na Muungano mzima wa Atlantiki ya Kaskazini maarufu kama (NATO)...
1 Reactions
36 Replies
851 Views
Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote. Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa...
14 Reactions
53 Replies
671 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,325
Posts
49,599,841
Back
Top Bottom