Salaam wakuu!
Wanajamvi nilifungua shauri la madai katika mahakama ya mwanzo dhidi ya bwana mmoja jirani yangu ambaye alionekana kuwa mgumu kunilipa pesa yangu niliyomkopesha mwaka juzi 2022!
Huyu...
Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
Binti ya Hayati Rais John Pombe Magufuli, Jessica Magufuli, akiwa ni mwenye furaha baada ya kupanda matatu yenye graffiti za sura ya marehemu babake Jijini Nairobi.
Matatu ni neno la mtaa lenye...
Hebu sikiliza hizi ngoma mbili kwenye Sabufa, music system au whatever yenye Base la haja..!!
1. Vile Nataka Demu Ft. Mabantu
2. Nyumbani Ft. Wanangu 99 & Baba levo.
Hoya P.Funk karudi...
Shujaa Magufuli alikuwa Rais wa JMT
Juma Nkamia alikuwa Mbunge na Naibu waziri
Tundu Lissu alikuwa Mbunge
Juma Nkamia aliogopa kutumbuliwa akatoa Sifa za uwongo Ili Katiba ibadilishwe na Rais...
Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo...
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?
Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za...
Habari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.