Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau?
=======
Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za...
Habari za muda wazee Hivi Hapa dar es salaam maeneo ya Gongolamboto Mpaka Huku Banana Kuna Sehemu yeyote Kuna internet Cafe Nakama ipo Kushusha file nzito almost Gb 20-30 wanachaji kiasi gani...
Hii ni dharau, pili mshahara wa Benchikha ulitoka kwa mmiliki wa club ya Simba yaani Mo (alisema kainunua na hajawahi kufuta kauli yake), mishahara ya Mgunda na Matola inatokana na mapato ya club...
Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini.
Mkurugenzi...
Mpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama...
Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.