Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?
0 Reactions
6 Replies
14 Views
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
8 Reactions
28 Replies
404 Views
1) Intelligent Quotient (IQ) 2) Emotional Quotient (EQ) 3) Social Quotient (SQ) 4) Adversity Quotient (AQ) 1. Intelligence Quotient (IQ): hiki ndicho kipimo cha kiwango chako cha ufahamu...
6 Reactions
10 Replies
238 Views
Habari zenu waungwana, Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito. Baada...
2 Reactions
32 Replies
287 Views
Nasikia gunia la kitunguu saumu la debe tano linauzwa 500,000. Hiki kitunguu hakina mbegu hivyo unapanda vile vipande vyake. Wanasema ekari moja inaweza kupanda gunia 16 hadi 28 za kilo mia...
15 Reactions
230 Replies
116K Views
Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
16 Reactions
115 Replies
2K Views
Kwa uzoefu wangu aviator ni casino nzuri na bora kuliko zote ukiwa na nidhamu nyema huwezi kulost kijingajinga, mara nyingi wanaopoteza ni walimbukeni watamani vya juu zaidiii. Naweka odds zangu...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar Umri 20-35. Umri wangu 32. Asiwe slay queen. Ajue thamani ya mwanaume Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.
6 Reactions
49 Replies
411 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
71 Reactions
350 Replies
10K Views
Narudia yena Kusema Wanawake ni Kama Uyoga leo ni mboga Kesho ni sumu 🥹🥲😰 Ndugu zangu mimi nalala Ila kuweni makini na mapenzi.
0 Reactions
8 Replies
54 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,153
Posts
49,591,719
Back
Top Bottom