Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea
https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Vigogo wa Chadema wako ndani ya Kikao kizito muda huu wakijadili masuala mbali mbali, ukiwemo mustakhabari wa Nchi .
Miongoni mwa Ajenda ni kuhusu Chaguzi za...
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandan ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
Habari,
Bila shaka uko poa. Mimi ni Freelancer na nauza mziki wangu kwenye majukwaa mengi ya kimuziki. Nimejiunga na Payoneer NIDA na kila kitu kimekubali shida kwenye Utility au Bank Statement...
Mbinu za hali ya juu zinazotumiwa na wapiganaji wa Hamas kupambana na askari wa Israel wanaoelekea kuivamia Rafah,zimeelezwa na wachambuzi wa kuvita kuwa wapiganji hao bado wamejipanga kuendelea...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani imefikia kiwango cha kutisha sana, majuzi hapa nilikuwa nasafiri na gari majira ya usiku wa manane, askari akanisimamisha nikakutwa na makosa...
Ni kauli ya boss wangu miaka 5 nyuma kipindi namsaidia kwenye kijiwe chake Cha kutibu watu huku na yeye anapambana kwenye ajira ya serekali na kijiwe chake .Nikiwa kama mtu wa Maabara na muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.