Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito.
Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine.
Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya...
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
Pamoja kwamba Mimi ni mfuasi wa CHADEMA na mwanachama wa CHADEMA, ila Kuna jambo moja linanifanya nimuunge mkono Makonda. Kusikiliza kero za wananchi ambazo serikali imeshindwa kuzishughulikia...
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
Wakuu swalama?
Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?
1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule...
Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea .
Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu!
Njooni, wataalamu wa bajeti
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.