Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
3 Reactions
28 Replies
419 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
19 Reactions
356 Replies
4K Views
  • Suggestion
SAFARI YA MABADILIKO ENDELEVU. Tanzania kama zilivyo inchi nyingine inakabiliwa na changamoto lukuki za kimaendeleo, mfano Kwenye sekta ya elimu, miundo mbinu, uchumi na afya hivyo kunahaja kubwa...
0 Reactions
1 Replies
28 Views
Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu. Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami. Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena...
7 Reactions
63 Replies
873 Views
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandan ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
  • Suggestion
Imezoeleka katika chambuzi nyingi, watu husifia. Lakini ni vigumu sana kufanya uchambuzi kwa kuonesha makosa au udhaifu katika nyanja mbalimbali hususani katika jambo unalolifanyia kazi. Bila ya...
1 Reactions
2 Replies
26 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma amehoji " kama bunge halina meno sasa tuko humu Ndani kufanya kitu gani?" Musukuma amedai tangu enzi za Kafulila aliyeitwa Tumbiri, tukaambiwa ni vihela vya...
6 Reactions
37 Replies
857 Views
Nilisikia mahali kwamba Zanzibar ina wakilshwa na wabunge 80 kwenye bunge la Muungano, na raia wote wa Zanzibar hawafiki milioni moja. Halafu eti mtanzania bara hawezi kugombea nafasi yoyote ya...
0 Reactions
3 Replies
30 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha katika kile kinachoitwa kusikiliza kero za wananchi jana akiwa amevalia kinadhifu mavazi ya kofia na tisheti vyenye maneno "Jesus did it" amezungumzia mambo mawili muhimu...
9 Reactions
17 Replies
580 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,295
Posts
49,596,065
Back
Top Bottom