Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi. Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza...
2 Reactions
2 Replies
45 Views
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu Namuunga mkono Lema 100%...
2 Reactions
4 Replies
7 Views
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema Watanganyika hawatoki wapate Serikali ya Tanganyika eti kwa sababu Zanzibar Wana Serikali, au kwa sababu hatuwapendi Wazanzibar La hasha tunataka Serikali ya...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote Kapteni Ian Kagame wa Jeshi la Ulinzi Rwanda
0 Reactions
12 Replies
151 Views
Anaitwa Atupandilile Mwakipumbu C:C Masandawane FC Carasco Putin mwasibu wetu wa Mchongo OKW BOBAN SUNZU Dada yetu Kalpana Simba damu damu Scars Popoma GENTAMYCINE Bila kumsahau mlete mgunda...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa uzoefu wangu aviator ni casino nzuri na bora kuliko zote ukiwa na nidhamu nyema huwezi kulost kijingajinga, mara nyingi wanaopoteza ni walimbukeni watamani vya juu zaidiii. Naweka odds zangu...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Tuweke picha zetu wanaume namna tunavyopambana kupambania familia zetu. Lengo la huu uzi ni kutiana Moyo na kuombeana katika mapambano ya kila siku. Hakika tutakula kwa jasho. Mathayo 6:6-9...
1 Reactions
7 Replies
22 Views
Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana. Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na...
5 Reactions
13 Replies
265 Views
Habari za Leo wakuu Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine...
7 Reactions
146 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,145
Posts
49,591,419
Back
Top Bottom