Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF.
Kwa miaka kadhaa nilikula msoto sana wa kimaisha kiasi cha kukosa hata pesa ya nyanya geto.Sometimes chai ya asubuhi ilinishinda,lunch ilikuwa inapiga chenga...
Habarini wakuu!
Hivi nawezaje kuhakiki uhalali/umiliki wa ardhi (Surveyed plot yenye registration plan number) pasipo kufika kwenye ofisi husika? Na ni ofisi gani natakiwa kuanza nayo; Manispaa au...
Wadau naomba ushauri wenu.
Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi.
Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
KAZI ANAZOFANYA MH PAUL MAKONDA NDIO KAZI ZA KIONGOZI
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Mimi ni shabiki mkuu wa aina ya siasa za watu kama Paul Makonda. nimekuwa nikimshabikia bila woga...
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema Watanganyika hawatoki wapate Serikali ya Tanganyika eti kwa sababu Zanzibar Wana Serikali, au kwa sababu hatuwapendi Wazanzibar La hasha tunataka Serikali ya...
Wajameni eeh,
Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e...
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.
DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.