Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii stendi naona watu wanasifia, na kuna wakati Waziri Mkuu alie da kukagua maendeleo ya Ujenzi, Ila tulinyimwa akili au zipo ila Uchwa umetuzidi. Swali ni Je Hakuna Idara ya Intelijensia ya...
15 Reactions
102 Replies
8K Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
17 Reactions
292 Replies
3K Views
Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
3 Reactions
26 Replies
368 Views
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA, Naombeni mnisaidie hili swali, Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo, Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na...
1 Reactions
19 Replies
129 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia...
4 Reactions
16 Replies
214 Views
Je simu hiyo anapaswa kurudishiwa, au kuitaifisha au kufanya nn?? Tafadhali nijibu kulingana na sheria inavyosema na sio kwa kuzingatia maadili
0 Reactions
7 Replies
32 Views
Mpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama...
2 Reactions
6 Replies
156 Views
niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza kufunga wifi nyumbani na kuweza kumnunulia mtoto simu, sio kigezo cha kumwachia mtoto uhuru kwenye ulimwengu wa kidijitali...
1 Reactions
3 Replies
38 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha katika kile kinachoitwa kusikiliza kero za wananchi jana akiwa amevalia kinadhifu mavazi ya kofia na tisheti vyenye maneno "Jesus did it" amezungumzia mambo mawili muhimu...
3 Reactions
15 Replies
392 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,288
Posts
49,595,764
Back
Top Bottom