Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Siasa za dijitali ,siasa za mitandaoni,siasa za Instagram.siasa za uchawa. Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi. Makonda...
3 Reactions
12 Replies
174 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
14 Reactions
231 Replies
2K Views
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila...
3 Reactions
21 Replies
469 Views
Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF. Kwa miaka kadhaa nilikula msoto sana wa kimaisha kiasi cha kukosa hata pesa ya nyanya geto.Sometimes chai ya asubuhi ilinishinda,lunch ilikuwa inapiga chenga...
2 Reactions
7 Replies
42 Views
Mimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar Umri 20-35. Umri wangu 32. Asiwe slay queen. Ajue thamani ya mwanaume Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.
6 Reactions
33 Replies
267 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
4 Reactions
25 Replies
326 Views
Nimejaribu kuwaza ikiwa jamii forums itapata mshindani kutokea ndani ya Tanzania itaendelea kusimama kama ilivyo Kwa Taarifa nilizonazo na za uhakika ni kwamba Kuna mwamba mmoja anabuni social...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,108
Posts
49,590,252
Back
Top Bottom