Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo tangu zamani mashuleni, mitaani, n.k. !! tofauti yao ni kwamba viungo vyao havijakomaa...
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio, lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli, hiyo picha wako...
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga...
Mkuu wa mkoa wa Arusha katika kile kinachoitwa kusikiliza kero za wananchi jana akiwa amevalia kinadhifu mavazi ya kofia na tisheti vyenye maneno "Jesus did it" amezungumzia mambo mawili muhimu...
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu...
Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa kwenye nyanja ya networking kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.