Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kibu Denis amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kusalia simba kwa Ada ya usajili ni milioni 350,mshahara wa 15 na Gari yenye thamani ya milioni 50. Kibu jumla atakusanya milioni 760 ndani ya...
0 Reactions
4 Replies
46 Views
Kutoka Kwa Zitto Kabwe, Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano. Sasa Kwa nini CCM imekua...
5 Reactions
16 Replies
344 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
House girl mwenyewe Bonge la pisi kali
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
25 Reactions
114 Replies
2K Views
Mwaka 2003 ndege ya shirika la serikali ya marekani (AMERICAN AIRLINES) boeing 727 ilikua imekwama (au tuseme imetelekezwa) nchini Angola (Luanda international airport) kwa kipindi cha miaka 4 na...
4 Reactions
14 Replies
245 Views
Mary Moraa ambaye ni bingwa wa dunia na Jumuiya ya Madola mbio za mita 800, ametwaa taji la riadha za Diamond League duru ya Doha nchini Qatar. Bingwa huyo wa Kenya ambaye ni afisa wa polisi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
TETESI: Nyanda wa Klabu ya Simba, Ayoub Lakred ameamua kuondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja klabuni hapo kufikia ukomo. Kwa mujibu wa ripoti Ayoub (28)...
1 Reactions
4 Replies
189 Views
Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi. Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza...
14 Reactions
30 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,211
Posts
49,593,388
Back
Top Bottom