Dah maswala ya udomo zege bwana hatari yaan mpaka nimeamua kupitia wanawake madanga au bei poa. Kwa kwel hata sina muda wa kubembeleza wanawake wanaoringa wao waringe tu ila sina time na wao...
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es...
Katika Ukurasa wake wa tweeter Mhe David Kafulila ameandika haya:-
************************************
"Kwasasa Umuhimu wa kutumia nishati mbadala hauna mbadala,
Tanzania sasa ni...
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia...
Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa.
Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake...
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandan ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.