Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio, lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli, hiyo picha wako...
9 Reactions
113 Replies
2K Views
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga...
18 Reactions
59 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha katika kile kinachoitwa kusikiliza kero za wananchi jana akiwa amevalia kinadhifu mavazi ya kofia na tisheti vyenye maneno "Jesus did it" amezungumzia mambo mawili muhimu...
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Nashindwa hata kujieleza maumivu yake kumbe ndo hivi wanangu mpaka video zao wakiwa kitandani ninazo kwenye simu yangu nashindwa hata kumuangalia kwa hasira huyu mwanamke hata kumuulizia juu ya...
36 Reactions
104 Replies
3K Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
11 Reactions
31 Replies
268 Views
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu...
8 Reactions
96 Replies
3K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa kwenye nyanja ya networking kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
0 Reactions
6 Replies
79 Views
1. Mwanamke hakikisha tunda safii na limelimwa majani sio msitu mnene, huo ni uchafu pia. 2. Piga mswaki kabla ya tendo ili kuondoa harufu mbaya, mdomo utakuwa fresh. 3. Vaa nguo zako za mitego...
3 Reactions
41 Replies
835 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,380
Posts
49,598,110
Back
Top Bottom