Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Huu ndiyo ulio ukweli mchungu wenye kuakisiwa vyema nyuma ya jitihada zote za Afrika Kusini hadi ICJ huko dhidi ya Israel. 2. Kwamba kuna mpenda haki wapi kwetu aliyebakia CCM, CHADEMA, ACT...
1 Reactions
26 Replies
298 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
21 Reactions
6K Replies
218K Views
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Hapo jana Misri imetoa tamko kuwa kuanzia sasa haittotoa ushirikiano tena na Israel katika kupitisha misaada mpaka wa Rafah. Nongwa hiyo ya Misri ni kwa vile ati Israel imejichukulia jukumu la...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jipatie Drone aina ya KF 102 yenye sifa zifuatazo •HD 4K camera •2 axis Gimbal •1.2 kilometre flying range •25 minutes flight time per battery •5Ghz Wifi frequency transmission •Altitude hold...
0 Reactions
18 Replies
114 Views
Amini usiamini mambo haya yanatokea kwenye nchi yetu hivi hivi tukiwa tunaona! Tuanze 1. Unaambiwa bodi ya Mishahara iliundwa mwaka 2017 na ikamaliza muda wake bila mishahara kubadilishwa! Na...
7 Reactions
17 Replies
29 Views
"Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu...
9 Reactions
74 Replies
6K Views
Rostom Aziz amesema hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya. Na kwamba mahakama zetu...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
11 Reactions
81 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,399
Posts
49,598,999
Back
Top Bottom