Nimeona kwenye mtandao wa X Lema amepost kitu ameita " sielewi kabisa" . Uchonganishi aliopost huu hapa
https://twitter.com/godbless_lema/status/1788569776366723518/photo/1
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
Kuwa raisi sio jambo dogo/jepesi hata kidogo. Kongole kwa La mama anaeendelea kugongelea misumari kuhakikisha gurudumu halichomoki na tunakwenda mbele bila wasi...
Twende sasa....
Cha kwanza...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
Habari za leo wana jf mimi ni kijana wa miaka 26 nimejitafuta kwa muda na kwa sasa nashukuru mungu niko tayari kwa ajili ya ndoa,na kifamilia na kimatunzo pia
hivyo basi naomba kufahamu kama...
Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!
Hivi tupo serious kweli hii nchi?
Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.