Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!
Hivi tupo serious kweli hii nchi?
Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi...
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza...
Hakika nimeona nitoe ushauri huu kwa wale wote MNAOOGOPA KUFA.Mtu akifa huonekana kama kaadhibiwa lakini ukweli ni kuwa Mtu akifa anaenda Sehemu nzuri na salama kuliko ALIPOKUWA.
Kuthibitisha...
Walevi kutoka ile bar wamenipigia simu kuwa kuna moto unawaka Mawinguni, baada ya B12,Adam Mchomvu, DJ D Ommy kutolewa XXL na kupelekwa kipindi cha Jahazi inadaiwa kuna Media tayari imefanya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hizi gemu lazima Simba waziwekee mkakati maana Kagera kwao ni wa moto sana, tukifanya mchezo tunaweza kuacha point kagera, geita na Dodoma, hizo mechi ni ngumu sana.
Mkakati lazima uwepo
Hii kitu ina addction moja mbaya sana
unanunua kopo la elf 6 ni kubwa unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipabde tu nakuapia unaweza maliza mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.