Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Shalom, Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala. Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa...
4 Reactions
10 Replies
101 Views
Habari zenu bwana!. Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa. Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa...
15 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea . Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu! Njooni, wataalamu wa bajeti
3 Reactions
37 Replies
273 Views
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake. Je...
3 Reactions
33 Replies
465 Views
Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa...
5 Reactions
53 Replies
784 Views
Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa tuko kwenye foleni kupisha Mwenge. In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge! Disappointment ya hali ya juu. Wakazi wa Kigamboni...
17 Reactions
77 Replies
970 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps. Ama nilipie...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Najaribu kuwaza kilichowapata wafanyakazi wenye vyeti fake walibainika kuwa hawana vyeti halali ili kuhalalisha ajira zao.Wafanyakazi hao waliondolewa haraka serikalini na kusitisha mishahara yao...
0 Reactions
2 Replies
31 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,943
Posts
49,584,475
Back
Top Bottom