Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za Leo wakuu Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine...
2 Reactions
30 Replies
464 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
7 Reactions
110 Replies
363 Views
  • Suggestion
TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA. Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya...
0 Reactions
7 Replies
99 Views
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na...
5 Reactions
28 Replies
563 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume,kazi ya kugusa maisha ya watu ,kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na...
3 Reactions
24 Replies
148 Views
Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya. Hapa...
38 Reactions
271 Replies
8K Views
AMINI AHADI ZA MUNGU ZITATOKEA KWAKO HESABU 23:19, Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu, ajute, iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza? (Ref: 1Samwel 15:29, Malaki 3:6...
11 Reactions
37 Replies
307 Views
Jamani Mgosi nawaletea dili hili, kama una shida ya pesa ya fasta bila kupoteza. TV INCH32, Kampuni PineTech Flat screen ya kawaida pesa -100k cash
1 Reactions
10 Replies
156 Views
Hii kitu ina addction moja mbaya sana unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni...
7 Reactions
44 Replies
564 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,950
Posts
49,584,675
Back
Top Bottom