Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa
Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa...
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio,lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli,hiyo picha wako...
The Israel Defense Forces has begun calling on residents of eastern Rafah to evacuate to a new, expanded humanitarian zone ahead of a major military offensive in the city, the final Hamas bastion...
HESLB Tanzania Tunaomba muwe mnawaelimisha hawa wabunge wetu vigezo mnavyotumia kuwapa wanafunzi mikopo maana mpaka mwanafunzi anapewa hela ya kujikimu ina maana hata kwao wana mazingira magumu...
Biashara yakuuza dola imekuwa na mkanganyiko mkubwa. Mabenki na taasisi za kubadilisha fedha wametangaza hawana dola.
Ila yapo maeneo sasa hivi unanunua dola kwa bei karibia na elfu tatu na fedha...
Habari zenu bwana!.
Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa.
Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa...
Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.