Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao.
Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza...
Kwenye mpira wa miguu hakuna kitu kizuri kama kupambania timu na hilo ndilo ambalo limeifanya Yanga wafikie hapa walipo ukiachana na mbinu na ufundi wa kocha Gamondi. Viongozi wa Yanga wanaonesha...
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
Vijana wengi wana mitaji midogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza...
Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya...
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.
Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko...
Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni;
1. Mikel Arteta - Arsenal
2. Unai Emery - Aston Villa
3. Pep Guardiola - Man City
4. Andoni Iraola - Bournemouth
5. Jurgen Klopp...
Kuna wachezaji wazawa wazuri sana nimewaona ambao Simba ikiwasajili watawasaidia mno, wa kwanza ni beki wa kulia wa zamani wa KMC na ss Singida, Kevin Kijiri, huyu hana tofauti na yule beki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.