Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
21 Reactions
15K Replies
1M Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Kwema Wakuu! Watanzania waliowengi ni Conservative(Watu ambao ni wagumu kubadilika au wanachukia au kuogopa mabadiliko)… Sio ajabu mtu ni muislam au mkristo kwa sababu alizaliwa na kukulia...
10 Reactions
63 Replies
608 Views
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo. Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo...
8 Reactions
107 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
4 Reactions
61 Replies
1K Views
Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi...
0 Reactions
2 Replies
15 Views
Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao. Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kiongozi wa kijeshi nchini Chad Mahamat Idriss Deby Itno ndiye mshindi wa uchaguzi uliofanyika wiki hii, kulingana na matokeo ya awali yaliyotangazwa usiku wa kuamkia Ijumaa. Matokeo hayo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni muda mrefu sasa baada ya kilaza kupewa Cheti kutoka UDOM kwa msaada wa Baba yake aonekana.
7 Reactions
124 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,845
Posts
49,582,072
Back
Top Bottom