Wakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokua na resource mbalimbali. Sasa mwaka flani hivi nilipata...
Wanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili...
Machawa fanyeni kazi yenu basi ya kusifia. Mvua hizo, mafuriko, mama Anaupiga mwingi. Naomba tumshukuru kwa mafuriko maana maisha yetu yanakuwa determined na Mama.
Au nakosea jamani
Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao.
Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
MIMI NA MIMI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★★...
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoanikilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga.
Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.