Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya.
Hapa...
Mungu aepushe haya yasitokee, japo huwa nikiota na kuwaza jambo lazima litokee.
Nimeona ktk ndoto usiku wa juzi ukiibuka mtafaruku kati ya mwenyekiti na makamu wake. Walinzi wa mwenyekiti ambao...
Hii kitu ina addction moja mbaya sana
unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni...
Habari za Leo wakuu
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine...
Wanajamvi
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya,
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
Vijana wengi wana mitaji midogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza...
Wakuu salaam
Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda?
Je wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia?
Kodisha mabanda haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.