Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lissu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka tu.
Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe...
Kuna mdau kauliza swali kuhusu Vimondo kikiwemo na kile kinachopatikana Jijini Mbeya katika wilaya ya Mbozi. Nitajibu kwa ufupi tu, ili na wengine wapate kuelewa kuhusu Vimondo na chimbuko lake...
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
Ama kwa Hakika huyu Waziri Mkuu wa Slovakia anahitaji kupongezwa.
Kwa niaba ya wapenda amani duniani tunakupongeza mno Mr. Robert Fico kwa kukataa maombi ya kifedhuli ya Zelensky na viongozi wa...
Wiki hii kampuni ya simu ya Safaricom ya Kenya imefikisha mapato ya dollar bilioni 1.07 kwa mwaka na kuifanya kampuni ya kwanza katika ukanda wa Africa Mashariki kufikisha na kupita kiwango cha...
Akiongea na wananchi wa Mpwapwa Jana, Ndugu Lissu anasema kuwa Wiki takriban mbili amekuwa akishambuliwa "kisiasa" na watu wa makundi matatu kutokana na kauli zake za kuhoji aina ya muungano...
Baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka miwili Ally alitaka kuoa mke wa pili, Mama yeke alimuuliza sababu akasema kuwa mke wake kabadilika sana, tangu amekuoa amekua mtu wa kisirani, mtu wa...
Majiko haya ni ya kimkakati katika kuhakikisha tanzania inakua ya kijan,ni majiko ya nishat safi ya kupikia yanayotumia oil chafu kama nishati safi ya kupikia,tunatoa huduma za kila aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.