Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa...
Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa tuko kwenye foleni kupisha Mwenge.
In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge!
Disappointment ya hali ya juu.
Wakazi wa Kigamboni...
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.
Je...
Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps.
Ama nilipie...
Wanajamvi
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya,
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
Shalom,
Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala.
Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa...
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.