Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu.
Benki Kuu ya...
Akihojiwa na vioa msemaji wa ccm ndugu amosi Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya chadema.
Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona chadema wanakiri kuna hela chafu...
Yani ana act as if amejaa kwako na waeza dhani kua ukimwambia tutoke out itakua rahisi, ila chaa jabu uki make move tu, anabadilika kama si yeye.
Wadada muache kucheza na hisia za watu, mambo ya...
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata...
Wanajamvi,
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku Chunya, Mbeya.
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40...
Wananzengo
Mwanamke wangu huyu hatimae leo kanipa notice yani termination without reason,
Huyu mdada nilifahamiane nae kwa bahati bahati tu mwaka jana nilikuwa nampa upendo mapenzi moto moto...
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.