Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu. Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu. Wadudu OG ni...
7 Reactions
39 Replies
936 Views
  • Sticky
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
15 Reactions
16K Replies
2M Views
Hii kitu ina addction moja mbaya sana unanunua kopo la elf 6 ni kubwa unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipabde tu nakuapia unaweza maliza mda huo huo kama sio kuongeza lingine.
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
6 Reactions
74 Replies
2K Views
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza...
2 Reactions
12 Replies
110 Views
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake. Je...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Freemason ni neno la kingereza ukilitea kwa lugha ya kiswahili maana yake ni "Wajenzi Huru" Art ya Freemason ukisoma article 76A na 86B zinaeleza Freemason ni kikundi cha watu ambao hukusanyika na...
1 Reactions
16 Replies
132 Views
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA IMEANDIKWA NA : NYEMO CHILONGANI CHANZO : BURE SERIES SEHEMU YA KWANZA Matangazo yalikuwa yamebandikwa kila kona ndani ya Jiji la Dar es Salaam yaliyokuwa yakihusu ujio...
5 Reactions
26 Replies
15K Views
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
5 Reactions
57 Replies
674 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,928
Posts
49,583,843
Back
Top Bottom