Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajukwaa! Je, umewahi kukutana na MAJINI au JINI? Je ulifanyaje? Je mlikua marafiki, au walikutisha na kukuogopesha, je mliishi pamoja? Je umeshawahi kuzungumza nao? Basi kama ndio karibu...
5 Reactions
21 Replies
160 Views
Binafsi nimefanya utafiti nimejiridhisha pasi na shaka kuwa kile kinachodaiwa kwamba ulikuwa ni mgogoro kati ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Handeni na TRA, hususani Manager wa TRA Handeni mpaka...
1 Reactions
9 Replies
270 Views
Inakuwaje Wanajamvi! Influencer/Mhamasishaji na mchekeshaji maarufu nchini Mwijaku amefanya jambo ambalo siyo sahihi na kinyume na maadili kwa kumshikashika miguu inayovutia na inayotamanisha...
1 Reactions
10 Replies
12 Views
Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na...
7 Reactions
114 Replies
3K Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
155K Replies
8M Views
Tunatambua mchango wa JWTZ katika Taifa letu, lakini pamoja na yote, bado kwangu wanasiasa wana nguvu sana kufikia hatua ya kuharibu mali asili za nchi kwa ajili ya manufaa binafsi Mimi nashauri...
13 Reactions
40 Replies
729 Views
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
28 Reactions
236 Replies
4K Views
Salaam, shalom!! Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma, Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio...
6 Reactions
221 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,073
Posts
49,589,252
Back
Top Bottom