Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
6 Reactions
71 Replies
2K Views
AMINI AHADI ZA MUNGU ZITATOKEA KWAKO HESABU 23:19, Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu, ajute, iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza? (Ref: 1Samwel 15:29, Malaki 3:6...
2 Reactions
4 Replies
23 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
3 Reactions
87 Replies
153 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
6 Reactions
79 Replies
2K Views
Freemason ni neno la kingereza ukilitea kwa lugha ya kiswahili maana yake ni "Wajenzi Huru" Art ya Freemason ukisoma article 76A na 86B zinaeleza Freemason ni kikundi cha watu ambao hukusanyika na...
1 Reactions
18 Replies
170 Views
MIMI NA MIMI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★★...
3 Reactions
110 Replies
10K Views
SIku za karibuni maroli yamekua kero sana njia ya Morogoro na traffic police wao wame focus zaidi kukamata magari yenye faini badala kuongoza magari ili tuwahi kwenye shughuli za kiuchumi. Foleni...
1 Reactions
2 Replies
83 Views
Hizi gemu lazima Simba waziwekee mkakati maana Kagera kwao ni wa moto sana, tukifanya mchezo tunaweza kuacha point kagera, geita na Dodoma, hizo mechi ni ngumu sana. Mkakati lazima uwepo
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,931
Posts
49,583,957
Back
Top Bottom