Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Walevi kutoka ile bar wamenipigia simu kuwa kuna moto unawaka Mawinguni, baada ya B12,Adam Mchomvu, DJ D Ommy kutolewa XXL na kupelekwa kipindi cha Jahazi inadaiwa kuna Media tayari imefanya...
2 Reactions
17 Replies
511 Views
Taarifa yao iliyosambazwa na Mkurugenzi wa Itifaki, John Mrema hii hapa.
5 Reactions
50 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Hizi gemu lazima Simba waziwekee mkakati maana Kagera kwao ni wa moto sana, tukifanya mchezo tunaweza kuacha point kagera, geita na Dodoma, hizo mechi ni ngumu sana. Mkakati lazima uwepo
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hii kitu ina addction moja mbaya sana unanunua kopo la elf 6 ni kubwa unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipabde tu nakuapia unaweza maliza mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia...
3 Reactions
8 Replies
9 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
6 Reactions
78 Replies
2K Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
3 Reactions
86 Replies
140 Views
Chombezo………….BAO TATU ZA MGENI! Umri…………………..18+ Sehemu ya 1 Ngurumo na radi vilitawala,huku wingu zito likitanda,ilikuwa ni dalili kuwa muda wowote mvua itanyesha,tena siyo ya rasharasha...
20 Reactions
341 Replies
282K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,931
Posts
49,583,957
Back
Top Bottom