Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
2 Reactions
34 Replies
301 Views
Kwema wakuu Ipi Kati ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza bila kuwa na mazoea nae inafaa.
1 Reactions
20 Replies
177 Views
Andre Rene Roussimoff ni mwanamieleka wa kfaransa na pia ni muigizaji Amezaliwa mwaka 1946 na amefariki mwaka 1993 Huyu bwana anashikilia rekodi ya dunia kwa kunywa bia 119 ndani ya masaa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala. Nimefurahi kuja kuwaona, sikuwahi kujua nyie ni wakubwa kiasi hiki. Nimeona kazi...
19 Reactions
81 Replies
857 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Ukiwa alosto huna mia ya kutu wanakukwepa. Kipindi kile cha kujitafuta ukiwapiga kirungu cha buku ya nauli au bundle ili uweze kufanya mawasiliano wanakupa majibu ya kilokole. Utasikia asiefanya...
39 Reactions
68 Replies
1K Views
Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja...
11 Reactions
63 Replies
755 Views
Wakuu mwezi uliopita nilifanya malipo online kwa debit card ya equity, sasa leo kuna hela imechotwa kwenye account naambiwa ni mark-up fee! Nimewapigia wanadai ni makato ya serikali ambayo ni...
0 Reactions
3 Replies
18 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
1 Reactions
11 Replies
241 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,538
Posts
49,575,784
Back
Top Bottom