Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza. Tamko hili limemtoa nyoka...
5 Reactions
40 Replies
694 Views
Mambo zaidi ya 10 anayopaswa kuepuka Mjamzito yoyote yule Unapogundua kuwa una mimba, unapaswa kuwa mwangalifu na kuepuka mambo mengi ambayo yanaweza kusababisha mimba kutoka, au tu yakakukudhuru...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
7 Reactions
111 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
1 Reactions
24 Replies
470 Views
Ninataka kujua hivi: Wakati wa kukimbiza mwenge utakuta sehemu wanayofikia lazima watenge chumba maalum cha kuhifadhia mchanga. Wakiwa wanaendelea na tukio la mwenge sehemu husika utawaona...
2 Reactions
25 Replies
592 Views
SO VIBAYA KUMPONGEZA MTU ANAEJALI MKOA WAKE NA WATU RC DAR N MMOJA WA WATU WANAJALI WANANCHI WAKE ABAGUI DINI PALE PANAPOITAJIKA AWEPO NA KANZU UTAMWONA UKIMTAKA NA SUTI MADHABAHUNI YUPOOO...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
37 Reactions
255 Replies
7K Views
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari...
10 Reactions
85 Replies
890 Views
Jamani Asanteni, Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika. Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa. Yule Mama anasema Maboss wa...
6 Reactions
12 Replies
251 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,546
Posts
49,576,172
Back
Top Bottom