Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu...
Wanajamvi
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya,
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
Habari ndugu zangu, nimekutana na utapeli wa kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni.
Mpaka sasa nipo njia panda kupata haki yangu pamoja na wahanga wenzangu zaidi ya 10, ambao tumenunua
viwanja...
Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza.
Tamko hili limemtoa nyoka...
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lisu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka Tu
Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Huenda hili likakushangaza lakini ukweli ndio huu, zaidi ya nusu ya watu wa jimboni kwake hawakumpenda.
Ila wale waliompenda walimpenda sana tena sana.
Visa vyote ninavyoandika kumuhusu Hayati...
Vijana wengi wana mitaji mdogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.