Habari za asubuhi wanabodi.Ngoja niende moja kwa moja kwenye hoja kama inavyojieleza hapo juu.
Siku za karibuni kumekuwa na kadhia ya mashambulizi ya mtandao wa kijamii wa Facebook.Nimeshuhudia...
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.
Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi...
Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni.
Baada ya kumaliza chuo kama huna connection, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele...
Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!!
Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER...
Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja...
Jipatie Drone aina ya KF 102 yenye sifa zifuatazo
•HD 4K camera
•2 axis Gimbal
•1.2 kilometre flying range
•25 minutes flight time per battery
•5Ghz Wifi frequency transmission
•Altitude hold...
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila...
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi?
Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Miaka inaenda unamaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.