Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
12 Reactions
61 Replies
765 Views
Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa...
34 Reactions
202 Replies
9K Views
Nikikwambia kuwa unaweza kumiliki mashine yenye uwezo wa kukuletea wateja kwenye biashara yako utaniamini? Wateja wenye pesa mkononi tayari kununua bidhaa/huduma unazotoa? Wengi nikiwaambia hili...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna mnada mkubwa wa malori hapa UK. Kwa wale wanaohitaji chochote wanaweza ku bid online halafu nitawasaidia kwenye kusafirisha kwa gharama nafuu. Maelezo zaidi ni inbox. 2020 Mercedes Actros...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
10 Reactions
147 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Licha ya vilio na adha kubwa ya ukosefu wa Maji ya matumizi Kwa binadamu na maendeleo, Serikali imepunguza Fedha ilizotenga kwenye Bajeti ya Wizara ya Maji Kwa zaidi ya 17% kutoka Bilioni 750 Hadi...
1 Reactions
7 Replies
8 Views
Wakuu kwema, mimi mkamaria ninayetumia 1xbet, wakamaria kama mnavyojua tunakula sana za uso... Mimi siyo mwandishi mzuri tuvumiliane Siku moja nikakaa chini nikafikiria namna ya kupata pesa...
1 Reactions
26 Replies
574 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
123K Views
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu...
0 Reactions
7 Replies
8 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,570
Posts
49,576,514
Back
Top Bottom