Wana morogoro maeneo ya manyuki mwisho tuna teseka na Maji ya Serikari Maana kuna mambomba lakin maji yana toka jumanne tu kila Week
Licha ya kutoka mara 1 bado yanakuwa hayana nguvu kiasi...
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar...
Salaam,Shalom!!
Nimesoma tafiti iliyofanywa na Taasisi inayotambulika Kwa Jina la SAUTI KUBWA: Isemayo. " Kamari yatafuna Taifa kimya kimya" iliyoandikwa na mwandishi aitwaye, Arodia Peter ...
Waziri Nape Nnauye atembelea Ofisi za JamiiForums
Nape Nnauye
Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala.
Nimefurahi kuja...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja...
Shida ya Lisu hajikiti kuongelea yaliyomo kwenye Ilani ya Chadema anapuyanga tu kifupi Chadema hawana mtetezi wa Ilani Yao tofauti na CCM
CCM Huwa Iko focused muda wote huongelea Ilani ya Chama...
Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta,
Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata...
Tundu Lisu, kwa historia yake, matendo yake na kauli zake, ndiye mtu anayetakiwa kutambulika kama mtetezi namba moja wa haki, usawa, ukweli na umoja wa Watanzania wote bila ya kujali hali ya mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.