Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
6 Reactions
78 Replies
527 Views
Jamani yule Jabali la siasa bora zenye Tija kwa taifa limeanza Phase 2 hapo jana. Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ameonekana akiwa kwenye mkutani Mkoano Dodoma wilaya ya Mpwapwa huku...
11 Reactions
58 Replies
704 Views
Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa...
1 Reactions
18 Replies
108 Views
Wadau nawasabahi. Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
12 Reactions
158 Replies
3K Views
Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja...
12 Reactions
67 Replies
802 Views
Ninataka kujua hivi: Wakati wa kukimbiza mwenge utakuta sehemu wanayofikia lazima watenge chumba maalum cha kuhifadhia mchanga. Wakiwa wanaendelea na tukio la mwenge sehemu husika utawaona...
2 Reactions
16 Replies
469 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
5 Reactions
222 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,546
Posts
49,576,079
Back
Top Bottom