Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni. Baada ya kumaliza chuo kama huna connection, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele...
8 Reactions
56 Replies
767 Views
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF...
8 Reactions
111 Replies
3K Views
Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!! Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER...
1 Reactions
5 Replies
80 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
9 Reactions
28 Replies
228 Views
  • Sticky
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters. The club formed in 1902. Stadium: Santiago Bernabéu...
38 Reactions
51K Replies
2M Views
Eneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa. Malisa
1 Reactions
18 Replies
434 Views
Habari za asubuhi wanabodi.Ngoja niende moja kwa moja kwenye hoja kama inavyojieleza hapo juu. Siku za karibuni kumekuwa na kadhia ya mashambulizi ya mtandao wa kijamii wa Facebook.Nimeshuhudia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi. Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi...
4 Reactions
12 Replies
405 Views
Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja...
6 Reactions
27 Replies
254 Views
Jipatie Drone aina ya KF 102 yenye sifa zifuatazo •HD 4K camera •2 axis Gimbal •1.2 kilometre flying range •25 minutes flight time per battery •5Ghz Wifi frequency transmission •Altitude hold...
0 Reactions
7 Replies
37 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,483
Posts
49,603,979
Back
Top Bottom