Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amezungumza na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Sijui nani amemcopy nani, ila kuna chuma nimeiona mitaa ya matajairi bwana, inaitwa Toyota Century 2023. Kwa mbali nikajua ni Rolls Royce Cullinan kumbe ni mali ya Wajapan aisee. Hii chuma ni...
7 Reactions
9 Replies
153 Views
Habari, Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli...
2 Reactions
12 Replies
134 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
13 Reactions
65 Replies
965 Views
Mtaje ex wako ambaye automsahau kwenye raha za kitandani
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Vijana wengi wana mitaji mdogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza...
4 Reactions
2 Replies
130 Views
#nguvumoja# VIKOSI VINAVYOANZA. AZAM FC SIMBA SC. Updates... Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa. Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli.
10 Reactions
191 Replies
2K Views
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lisu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka Tu Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe...
0 Reactions
3 Replies
21 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,593
Posts
49,576,894
Back
Top Bottom