Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
My Take Naunga mkono hoja,hakuna excuses ya sijui Ardhi yetu sijui ya nani? Lazima Hifadhi Ilindwe.https://radiotadio.co.tz/loliondofm/2024/05/07/453/
3 Reactions
19 Replies
680 Views
Kama jibu ni ndio, basi huu ndio muonekano wako baada ya kujichubua.
0 Reactions
6 Replies
151 Views
Salaam,shalom, Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo. Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi...
6 Reactions
28 Replies
727 Views
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
16 Reactions
162 Replies
8K Views
MHE TAUHIDA CASSIAN GALLOS Ahoji Bungeni Mkakati wa Serikali Kudhibiti Matukio Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono Dhidi ya Wanawake na Watoto "Je, kuna mpango gani wa Kudhibiti matukio ya...
0 Reactions
1 Replies
23 Views
Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree" Source: EATV CCM kuna Burudani...
7 Reactions
35 Replies
554 Views
Wakuu,, Baada ya kufuatilia kwa muda kidogo na kufahamu kuwa Bongo FMradio ya sasa ndio iliyokuwa TBC FM nimejikuta nawaza kwanini watangazaji kama Dijaro Arungu(Baba Mzazi) na Miriam Migomba...
3 Reactions
3 Replies
180 Views
  • Sticky
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
15 Reactions
16K Replies
2M Views

FORUM STATS

Threads
1,852,275
Posts
49,598,674
Back
Top Bottom